Kuna mota pale mkuu halafu unauliza inatumia nishati gani...wamemaliza maonyesho Jana,nimejipatia moja kwa usd 600,zilikuwepo pia Hadi usd 500, wameacha makubaliano na watakaokuwa mawakala wao hapa tz,nadhani farmers center wa dar ni mojawapo ya mawakala tarajiwa
Kwa hiyo bei, nadhani ni fursa nzuri kwa wafugaji na hata wachungaji wa ngo'mbe. Changamkieni kwani bei yake ni ya kawaida sana ukilinganisha na faida utakayopata ukiwa nayo.