Mashine za kukamua mafuta ya alizet

Mashine za kukamua mafuta ya alizet

mnyangara jr

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
18
Reaction score
6
Ndugu wana JF naomba tusaidiane jinsi yakupata mashine za Alizet, kwaajili ya Kiwanda kidogo. I need complete machine nagharama zake. Tafadhali kwa anaejua anisaidie, ushaur pia ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa poa mkuu.

Kwa sasa bei ya Alizeti ni sh ngapi kwa gunia?
 
Wasiliana na huyu jamaa anajiita the Bridge Consultancy +8613125094947. Contacts nyingine kwenye picha

2d79b113dd0a4a26990e3ffdba75f8d5.jpg
6342a29fb8ac5e6f778814781272c5db.jpg
 
Ndugu wana JF naomba tusaidiane jinsi yakupata mashine za Alizet, kwaajili ya Kiwanda kidogo. I need complete machine nagharama zake. Tafadhali kwa anaejua anisaidie, ushaur pia ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kisutu posta ukfika tu apo ulizia bodaboda wanapouza machine machine n wap utaelekezwa au kupelekwa kabisa... Nmetoka juzi hapo zipo... Bei zao znaanzia 3.9m kwa ndogo na kubwa 7.5m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom