Hizi ni Trima maalumu kwa ajili ya ndevu na vipara mkuu na kwapani huko na kwenye Pumbuduu mbona iko tofauti
Pumbu ni nini? Poor Brain @dronedrake @Evelyn Salt @Nyamwi255 @Mbaga Jr @mzabzab njooni haraka sana tumpe adhabu kali sanaHizi ni Trima maalumu kwa ajili ya ndevu na vipara mkuu na kwapani huko na kwenye Pumbu
Ni effective?Hizi ni Trima maalumu kwa ajili ya ndevu na vipara mkuu na kwapani huko na kwenye Pumbu
Ahahahahah mkuu ujui maana ya pumbu au 😂😂😂😂😂
Embu niambie.......Ahahahahah mkuu ujui maana ya pumbu au 😂😂😂
Pumbu ni tezi dume.. ambazo zinapatikana chini ya kitovuEmbu niambie.......
Uliza AI embu usinelete hapaPumbu ni tezi dume.. ambazo zinapatikana chini ya kitovu
Pumbu ni mifuko ya ngozi iliyopo chini ya uume inayoshikilia korodani (testes).Uliza AI embu usinelete hapa
sasa je pumbu ni ngozi iliyobeba korodani uelewe kuanzia leo watu wengi hawajui kutofautisha korodani na pumbuPumbu ni mifuko ya ngozi iliyopo chini ya uume inayoshikilia korodani (testes).
Ndani yake ndiko kunakopatikana korodani mbili, ambazo huzalisha mbegu za kiume (manii) na homoni ya testosterone.
Duuuh umeona maana yake hapo ahahahahh
Ahahahha mtu akisema pumbu zinauma unaelewa nini..?sasa je pumbu ni ngozi iliyobeba korodani uelewe kuanzia leo watu wengi hawajui kutofautisha korodani na pumbu
ngozi ya juu ya korodaniAhahahha mtu akisema pumbu zinauma unaelewa nini..?