MASHINE YA TOFALI

GREGO

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
4,279
2,913
Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", iko Dar, ilitengenezwa TDTC pale UDSM, iko imara sana.

Kwa bei ni 800,000 (Maelewano yapo) niPM tufanye biashara.
 
Ni mashine ya manual au ya engine?

Kama ni Engine; je ni Engine ya mafuta au ya umeme?
 
Back
Top Bottom