Mashine ya selcom

Mashine ya selcom

Shaun modest

New Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Waungwana mashine ya selcom inauzwa bei ni maelewano na ipi katika hali nzuri. Ina adapter yake pamoja na mkataba wa manunuzi.

Aliye tayari anicheki kwa namba 0719 585236
 
Ukishauza yako..nitaftie namimi wa MAXMALIPO
 
Sasa si bora na wewe uweke tangazo lako tu, me sio dalali nauza yangu nawe waweza uza yako
 
Hayana faida hayo mamachine...chukua 100k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom