Katelephone jr
Member
- Jun 15, 2014
- 43
- 2
Habar zenu wana jf kama Kichwa kinavyojieleza nauza mashine ya maxmalipo inayotoa huduma za
>Kulipia bili mbalimbali luku ,dawasco
>malipo ya television
>kuuza airtime za mitandao yote MF tigo,voda
>wakala wa mpesa,airtelmoney
>ticket za tff
Mwenye kuhitaji mawasiliano =0714659980
=0718338497
Nipo dar
mimi nina mashine ya maxicom, mkataba wao na mimi ilikuwa ukinunua mashine lak5 ila kama ukitaka kuirudisha kila mwaka inapungua thamani kwa asilimia 10 baada ya miaka mitano mashine inakuwa yako so ni bora uwarudishie.
Kuhusu tff inategemea na baathi ya mechi ndio maxcom wanachukua mkataba,mechi nyingine crdb ndio wana mkataba.
Mteja unayetaka mashine ya maxicom ni bora uende ofisini kwao ukachukua mashine yako mana ikisumbua wanakufahamu.
Samahani lakini
Milioni ngapi hii mambo, naitaka fasta
taja bei mkuu
mimi nina mashine ya maxicom, mkataba wao na mimi ilikuwa ukinunua mashine lak5 ila kama ukitaka kuirudisha kila mwaka inapungua thamani kwa asilimia 10 baada ya miaka mitano mashine inakuwa yako so ni bora uwarudishie.
Kuhusu tff inategemea na baathi ya mechi ndio maxcom wanachukua mkataba,mechi nyingine crdb ndio wana mkataba.
Mteja unayetaka mashine ya maxicom ni bora uende ofisini kwao ukachukua mashine yako mana ikisumbua wanakufahamu.
Samahani lakini
tunasubiria bei mkuu.
Ninao mashine tangia 2012,samahani kama wamebadiisha utaratibu