Mashine ya Matofali


Picha nimeziokota humu humu...Hawa wakala wa serikali wa ubunifu wa vifaa vya ujenzi (nhbra) wanapatikana wapi?
 

Safi sana Mkuu, michango hii ndio inatakiwa hapa. Lakini ni vyema Safari-ni-Safari nae akawatembelea na hao wadau wengine ili kujua design ya product zao na bei zao pia kama haitamcheleweshea mambo. Soko huria hili
 
Hawa jamaa wana akili nzuri kweli hawa?
Hiyo mashine ukiitumia kwa mwaka mmoja lazima kiuno kikatike!
The liver/handle is too long (ukiacha swala la kurefusha ili kupunguza power used) na handle inakwenda hadi chini ndo tofali litoke.............weeeee!!!!

Sijaona ubunifu hapo!
"Mashine hizo kwa mujibu wa Wakala wa Serikali wa Ubunifu wa Vifaa vya Ujenzi (NHBRA)
 
Picha nimeziokota humu humu...Hawa wakala wa serikali wa ubunifu wa vifaa vya ujenzi (nhbra) wanapatikana wapi?

Wapo Mwenge, Dar es Salaam. Unaweza ukawatembelea HAPA

Contact zao ni:
P.O.Box 1964
Sam Nujoma Road,Mwenge,Dar es Salaam
Tanzania

info@nhbra.go.tz
+255222771971
+255222774003

[TD="width: 40px, align: left"]
[/TD]

[TD="width: 40px, align: left"]
[/TD]

[TD="width: 40px, align: left"]
[/TD]
 

Asante mkuu..........ni ile iliyokuwa Tanzania Building Agency
 

Good observation. Nadhan ungekuwa kwenye production line yao wangekukoma. Lakini ni teknolojia rahisi ambayo kwa kuanzia si mbaya. Kabla kiuno hakijakatika unabadili machine.
Hapo kwenye red nadhani hilo neno la kiswahili lilitumika kimakosa kwani jamaa wanaitwa National Housing and Building Research Agency (tafsiri mwenyewe)
 
Asante mkuu..........ni ile iliyokuwa Tanzania Building Agency

Hapana TBA bado ipo vile vile. Unaweza ukawasiliana nao kwa kupitia

Tanzania Building Agency
Box 9542
Dar es Salaam
Phone(s): 255 22 2117114
Fax: 255 22 2114143

[TD="width: 22%, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 21%, align: center"]
[/TD]
[TD="width: 22%"][/TD]
 
Je hii mashine ni ile inayotengeneza matofali ya 'interlocking'?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…