400000tsh mkuubei please.
tunaomba na ya kufukuzi ndege
Mwenyewe nkafikili ka machine ka watoto kumbe kanavuna mpunga.Hii inafanyaje kazi mbona ndogo sana.
Hii hekari 1 si mwaka mzima.
Mwenyewe nkafikili ka machine ka watoto kumbe kanavuna mpunga.
Hapana mkuu ekar, nusu saa mpk saa moja tu unamaliza kutokana na kuizoea kwako, na speed yko ya kutembea nayoHii inafanyaje kazi mbona ndogo sana.
Hii hekari 1 si mwaka mzima.
Ndio mkuu inavuna mpunga na kupanga chin mfn wa reli safi kbsa ,Mwenyewe nkafikili ka machine ka watoto kumbe kanavuna mpunga.
Kwel kbsa mkuu iko vizuri,narahisisha sana uvunajiHyo machine kwa ekari moja ni nususaa tu..nimewah kuona..ni noma sana
Mkuu tembelea youtube search paddy cutter machine utaweza ona jins inavyofanya kazWeka video yake tuone inavyofanya kazi...
Hii inafanyaje kazi mbona ndogo sana.
Hii hekari 1 si mwaka mzima.
Nimeiona mkuu, sasa ukishalaza mpunga chini unaanza kuubeba tena?Mkuu tembelea youtube search paddy cutter machine utaweza ona jins inavyofanya kaz