#kiongozidesay hiyo mashine inavuna mpunga,Yaan inapofikia kipindi mpunga kuvunwa basi hyo mashine inafanya kazi ya kukata na kutenganisha mpunga utapita katika kinu na mapukupuku yanatokea upande wa pili hivo ww n kuchukua magunia na kuset katika mdomo wa kinu