Mashine ya kutotoreshea vifaranga

SongelaeliPY

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Mi mkazi wa dodoma,,kuna mashine za kienyeji zimegundulika kwa ajili ya kutotoreshea vifaranga zinapatikana kwa urahisi sana na zinatotoa kwa kiwango kikubwa sana,,
Kama kuna mtu anahitajibmaelezo zaidi anicheki kwa 0765144741
 
Bila picha na bei huo utakuwa utapeli tu
Mwadela bhabha msukuma unazingua,,sio kila mtu mtapeli
Picha ya mashine ni hii hapa ni rahisi sana kutumia nicheki kwa hiyo namba kwa ushauri na elim kwa ujumla hata kama hutashawishika kuipata
 
Sio lazma ununue sisi kama wanajamii tunajuzana tunaelimishana kama hitojal nichek tubadilishane mawazo,,mpaka sasa nimeona matunda yake hao nimewapata kupitia mashine hyo

Mkuu katika 150 inaweza kuzalisha kiasi gani ?
Je ni automatic au mayai unageuza kwa mkono?
 
Katika 150 kama ukifuata maelekezo vizuri unazalisha sio chini ya 130
 
Na mayai unageuza kwa mkono kila baada ya masaa nane means kwa siku unageuza mara tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…