Mashine ya kusajili line za simu aina ya famoco

Mashine ya kusajili line za simu aina ya famoco

malamsha shao

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
228
Reaction score
95
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu.

Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco.

Wenye uzoefu, msaada jamani.
 
With famoco utasajilia voda Airtel na tigo.
Unaweza pewa na kampuni ila wengi wanauza
 
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu.

Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco.

Wenye uzoefu, msaada jamani.
He better find another job to do actually registering Sim card line should not be his main job at all.
 
Back
Top Bottom