Mashine ya Kuprint Tshirts (screen printing)

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Habari ya asubuhi wadau, natumaini mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
kwa yeyote mwenye information wapi naweza kupata mashine na vifaa vinavyotumika katika screen printing business hapa Dar naomba anijuze. vifaa/materials kama squegees, mesh, colors nk.

asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…