mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 22, 2014 #1 jiko la kupikia/kutengeneza burger linauzwa iko kubwa na dogo bei 1.9milion zote linatumia umeme...kama kuna mtu ana idea ya biashara hiyo au anataka kufungua sehemu ya kuuza burger anicheck tufanye bisnes.mashine hiyo ni used na imetoka denmark.
jiko la kupikia/kutengeneza burger linauzwa iko kubwa na dogo bei 1.9milion zote linatumia umeme...kama kuna mtu ana idea ya biashara hiyo au anataka kufungua sehemu ya kuuza burger anicheck tufanye bisnes.mashine hiyo ni used na imetoka denmark.
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 78 Apr 22, 2014 #2 Hiyo 1.9 ni bei ya mashine 1 au zote? Ungeweka picha ingependeza zaidi
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 22, 2014 Thread starter #3 Ambassador said: Hiyo 1.9 ni bei ya mashine 1 au zote? Ungeweka picha ingependeza zaidi Click to expand... yote mkuu...napata matatizo ku upolad pic.ila mashine ni used toka denmark haijatumika hapa
Ambassador said: Hiyo 1.9 ni bei ya mashine 1 au zote? Ungeweka picha ingependeza zaidi Click to expand... yote mkuu...napata matatizo ku upolad pic.ila mashine ni used toka denmark haijatumika hapa