Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,693
- 23,270
Aisee, balaa hiliInajidhihilisha namna watanzania tulivyo wezi hata vyombo vya dola navyo ni wezi
pale ARUSHA pesa za wizi zimeyeyukia mikononi mwa polisi
Kama vibaka wa TandikaTz watu wanaiba hadi kivuli