Mashine ya kufyatua tofali

Mashine ya kufyatua tofali

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,323
Reaction score
4,551
Habari wadau;
Mwenye kufahamu kuhusu bei na upatikananji wa mshine za kufyatua tofali kwa maeneo ya Arusha anijulishe aina pamoja na bei zake.

Pia mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza tofali anijulishe kuhusu gharama na faida ya biashara hii

Asante
 
Back
Top Bottom