Mashine ya kufulia nguo inahitajika

Mashine ya kufulia nguo inahitajika

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Naombwa kujulishwa mashine ya kufulia nguo Gharama yake na zinapatikana wapi hapa tanzania.
 
Unataka machine za nyumbani au kwa biashara? pili ni machine pekee au na complete laundry and dry cleaner units.
kupiga pasi na machine za kusafishia maji?
 
Thanks mkuu wangu ila nataka nifikiria kuanzisha Dry Cleaners sasa nataka kujua zipi nzuri na ukubwa wake inakuaje.
Mkuu dry cleaner itabidi uwe na mashine za kufulia ambazo ni industrial syo domestic
 
Unataka machine za nyumbani au kwa biashara? pili ni machine pekee au na complete laundry and dry cleaner units.
kupiga pasi na machine za kusafishia maji?

Mkuu nataka kwa ajili ya biashara halafu complete laundry na dry cleaner units kama ilivyo bei yake kamanda wangu.Pamoja na kupiga pasi na mashine ya kusafishia maji
 
Namm nahitahi mashine moja complete kukausha mm ni kuzianika tuu

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom