Na mashine ya kuprint cd na cover zake unayo?
mimi ninayo yakuprint cd alinitumia dg mcheki umu +8613524159707 model R2000
Wanajamvi nauza mashine ya kudurufu cd bei chee,inatoa cd 11 kwa dakika 4 kwa laki 7 tu....unaweza kunicheck kwa namba hii 0655090000
Jumla hii mashine ina milango 12 mmoja unaingia master iwe cd au dvd huu huwa hautoki ila inayochoma ni milango 11 na inajitegemea haiitaji uwe na computer pembeni hii tu mashine inafanya comand zote peke yake.
imetumika mwezi 1 tu.
Hahahaha, hii safi sana kwa wale vijana wenye "studio" zao chumbani, all you have to do is order those shiny holograms from me and you are all gold!
hata mimi naitafuta hyo
weka picha na bei mkuu!
Cosota na tra mpo