Habar ya wakati huu wana JF!?.....
Ninahitaji mashine ya Juice ya miwa (specially) au {multipurpose} ambayo ni portable na inawezatumia umeme (wa tanesco au generator)........
Kwa wajuz au wazoefu mnaweza suggest pia kwny maelezo hapo juu.....
Asanteni