Mashine ya juice (Juice dispenser ) inauzwa

Mashine ya juice (Juice dispenser ) inauzwa

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
437
Hii mashine ni nzuri saana ni mitungi mitatu ima nguvu saana yaan ndani ya dakika moja ishaweka mabarafu kama ukiwa hujawwka juice bado kila mtungi unabeba lita 18...kwa hiyo jumla inabeba lita 54

INAFAA KWA
biashara,, unaiweka sehemu tu unakuweka kijana anakuwa anakuuzia juice..maeneo ya mtaan au hata city centre...inachukua ka eneo kadogo tu.kwa hiyo sio lazima ukodi frem..hata ka upenyo kadogo tu inakaa afu muuzaji hata akiwa pembeni tu anasubir wateja

Matunda a 20k unatoa mauzo ya 60k...hapo faida 40k..na hapo ni juice ya elfu moja moja tu..kama ukiuza elfu mbili na faida inakuwa maradufu zaidi

BEI
ikiwa mpya kwenye box mitungi mitatu ni 1.3 hadi 1.5M.....ila mi kwa kiwa nimeshaitumia nitakuuzia kwa 850,000 tu

MAHALI
ipo kinondoni

nipigie 0683473391

IMG_20250801_183134_038.jpg

IMG_20250801_183202_539.jpg

Nasikia ili umiliki hiyo lazima upate kibali kutoka kwa janabi na uape kiapo cha kutotengeneza jwisi nyingi
 
hii mashine ni nzuri saana
ni mitungi mitatu
ima nguvu saana yaan ndani ya dakika moja ishaweka mabarafu kama ukiwa hujawwka juice bado
kila mtungi unabeba lita 18...kwa hiyo jumla inabeba lita 54

INAFAA KWA
biashara,, unaiweka sehemu tu unakuweka kijana anakuwa anakuuzia juice..maeneo ya mtaan au hata city centre...inachukua ka eneo kadogo tu.kwa hiyo sio lazima ukodi frem..hata ka upenyo kadogo tu inakaa afu muuzaji hata akiwa pembeni tu anasubir wateja

matunda a 20k unatoa mauzo ya 60k...hapo faida 40k..na hapo ni juice ya elfu moja moja tu..kama ukiuza elfu mbili na faida inakuwa maradufu zaidi

BEI
ikiwa mpya kwenye box mitungi mitatu ni 1.3 hadi 1.5M.....ila mi kwa kiwa nimeshaitumia nitakuuzia kwa 850,000 tu

MAHALI
ipo kinondoni

nipigie 0683473391

View attachment 3428062

View attachment 3428066

View attachment 3428082
Ikifika 550 nishtue seriously nahitaji mzigo huo
 
Kumbe ni bei
 
Attachments

  • Screenshot_20250822_154608_Chrome.jpg
    Screenshot_20250822_154608_Chrome.jpg
    256.4 KB · Views: 15
Back
Top Bottom