Tokomeza Zero Member Joined Oct 7, 2019 Posts 16 Reaction score 18 Nov 2, 2019 #1 Habari wadau, Nina shida ya kupata mashine ya kukata nyama na Samaki kwaajili ya butcher yangu. Mashine inaweza kuwa used or mpya itanifaa tu. Anayeuza tafadhali anijuze ili tufanye biashara. Asanteni
Habari wadau, Nina shida ya kupata mashine ya kukata nyama na Samaki kwaajili ya butcher yangu. Mashine inaweza kuwa used or mpya itanifaa tu. Anayeuza tafadhali anijuze ili tufanye biashara. Asanteni
K kochaMchezaji Member Joined Feb 15, 2015 Posts 97 Reaction score 84 Dec 14, 2019 #2 Umeshapata machine? Sent using Jamii Forums mobile app