Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,317
- 10,167
Una video yake tuone junsi inavyofanya kazi?Mashine ya Sabuni complete ni million 9 miche 150 Kwa saa
Ila machine peke yake 7m hapo ni bila
labeling na cutting machine karibu
Kwa 9m hapo ni kuifunga na kuanza kazi tu
karibu ni lolote 0762612213
Una video yake tuone junsi inavyofanya kazi?
Usishangae wajasiriamali wa sasa anataka machine halafu video tu kesharidhikaJamani
Video zipo lakini nakushauri njoo ofisini ubungo external kuona video na kuona live vitu viwili tofauti njoo ushuhudie ofisini kwetu machine imara na boraUna video yake tuone junsi inavyofanya kazi?
Sio kuchoma mkuu Bali linaonekana Kama limechomwa hizo ni tofali za udongo zikizalishwa na machine ya interlocking tunaitengeneza kwa laki Saba na nusu tuMna mashine za tofali za kuchoma?
Hizo interlocking nazijua Boss.Sio kuchoma mkuu Bali linaonekana Kama limechomwa hizo ni tofali za udongo zikizalishwa na machine ya interlocking tunaitengeneza kwa laki Saba na nusu tu
Tofali hizi hapa chini tupigie 0762612213View attachment 1532953View attachment 1532954
Sisi ni waundaji wa machine unaweza kuja ofisini utuelekeze tukutengenezee hiyo machine njoo ubungo external 0762612213Hizo interlocking nazijua Boss.
Nimeuliza kama mna mashine za tofali za kuchoma kwa maana nilishaziona miaka ya 2003.