Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
- Thread starter
-
- #61
Mkuu mashine ya kokoto inategemea unahitaji iwe vipi ila kianzio ni millioni 16 bila conveyorMkuu nipe bei ya mashine ya kusaga kokoto tafadhali.
Mashine ya kupukuchua mahindi umeme millioni mbili na ya mafuta millioni mbili na laki tanomkuu mashine za kupukuchua mahindi zinaweza patikana/tengenezwa na bei yake itaendaje?
oh sawa mkuu ntakupigia tuone tunayapangajeMashine ya kupukuchua mahindi umeme millioni mbili na ya mafuta millioni mbili na laki tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bei asante mkuu.Mashine ya alizeti millioni 18 ndugu inakamua na kuchuja gunia tano kwa saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio bei halisi kwa hizi mashine zipo juu maana hapo ni complete set ikiwa na heater
Unauza bei gani weka wazi na mawasiliano yako nakuruhusu tangaza mkuuNina MOTA HP10 NAUZA
Karibu sana lolote tupigie 0762612213Hongera sana. Nilikuwa natafuta taarifa hizi. Nitawatembelea