Mashine hizi

Waliweka historia Olympic 1994 miaka hiyo nilikuwa na mishe za pipi kutoka Pakistan, ila wanaume hatuzeeki nikiwaona waliokuwa wasichana miaka hiyo sasa hivi vibibi vizee kabisa
 
Golden generation of Nigerian football
World cup 1994
 
Rashid Yekini aliwika mwaka 1994.
Kwenye Fainali za mataifa ya Afrika Tunisia na Kombe la Dunia Marekani.
Walisumbua sana akiwemo akina Daniel Amokachi, Emanuel Amunike, Peter Rufai, Uchechukwu "Uche" Alozie Ukechukwu,(Uche Ukechuku), Stephen Keshi, Samsoni Siasia.

Kikosi kinachoonekana hapo juu ni kizazi kingine.
Hao waling'ara mwaka 1996 kwenye Olimpiki ambako walichukua Medali ya dhahabu baada kuangusha vigogo vya soka Duniani.
Hao ni Akina Celestine Babayaro, Tijan Babangida, Nwanko Kanu, Taribo West nk.
Ispokua Austin Okocha, Sunday Oliseh na wengine wachache ambao waling'ara kwenye vikosi vyote, kile cha 1994 na 1996.
hawa jamaa nimesikia2 habari zao!
Bila kumsahau Rashid Yakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…