Uzzi Member Joined Dec 5, 2016 Posts 21 Reaction score 9 Aug 4, 2017 #1 Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.
Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.