.....nyie mmeona amna nafasi mipango mkaogopa kutia timu siyo!Azam chini ya Mhindi sasa,haya all the best...hizo ndo zenu Azam na Simba
Gud 4-updates.Matokeo ya gemu za Jana kwenye Super 8
Kundi A
Simba 1 - 1 Jamhuri
Kundi B
Azam 2 - 0 Super Falcom
Hayo ndo mashindano hadhi ya simba huko uchelewi kupewa penati3
pakiwa na mashindano mengi kama haya hakika timu zitaimarika
........lazima 'Anselm' kwa haya matokeo ya Simba atakuwa ameyakasilikia tu.Mechi za leo, Azam 0-2 Mtibwa na Simba 2-0 Mtende.
........lazima 'Anselm' kwa haya matokeo ya Simba atakuwa ameyakasilikia tu.
Nilijua tu, hukosagi cha kuongea, kumbuka kwamba Simba ina Hasira; kufungwa au kutoshinda kwenye hizi mechi za Kirafiki, Super 8 na Kagame kwa kipindi hiki kifupi cha Julay-August ni Neema tosha kwa Simba kwani mpaka ligi kuja kuanza itakuwa imeisha jua ni wapi imejikwaa na kufanya malekebisho stahiki; wasiojua falsafa ya Soka watabaki wakitegemea Simba iendelee kuvurunda kumbe inakuja kwa style na speed nyingine.Ha ha ha ha Mkuu PrN niyakasirikie haya matokeo dhidi ya team isiyojulikana katika medani ya soka la Zanzibar? (wewe tangu umeanza kufatilia masuala ya soka umeshawahi kuisikia hiyo team Mtende sijui Mtendeni) nafikiri hii ndo 1 ya zile team zilizopanda sijui kushuka daraja zilizojumuishwa kwenye hiyo michuano,halafu sasa....kama kawaida yenu,goli zote za penalt huku Jamaa wakicheza pungufu,haya kweli yanaweza kuwa matokeo ya kutia moyo?
Halafu kingine kinachonipa faraja mimi kama mwanasimba ni kwamba simba kuna wachezaji wengi, waliocheza dak45 za kwanza siku ya nane nane ni wengine na kipindi cha pili waliingia wachezaji wanane kama sub, hicho kimemfanya kocha kuona makosa yako wapi, kikosi cha vijana bado kuna vijana kadhaa wameenda Nigeria lakini waliobaki wanafanya mambo ya kutisha. Na magoli yaliyofungwa si yote ya penati kama anavyopotosha mdau mmoja, goli moja tu ndo la penati na penati haipatikani katikati ya uwanja inaonekana kikosi ni kizuri kama kinafika hadi kwenye sebule ya mpinzani na naye anacheza faulo unategemea nini?Nilijua tu, hukosagi cha kuongea, kumbuka kwamba Simba ina Hasira; kufungwa au kutoshinda kwenye hizi mechi za Kirafiki, Super 8 na Kagame kwa kipindi hiki kifupi cha Julay-August ni Neema tosha kwa Simba kwani mpaka ligi kuja kuanza itakuwa imeisha jua ni wapi imejikwaa na kufanya malekebisho stahiki; wasiojua falsafa ya Soka watabaki wakitegemea Simba iendelee kuvurunda kumbe inakuja kwa style na speed nyingine.
Nilijua tu, hukosagi cha kuongea, kumbuka kwamba Simba ina Hasira; kufungwa au kutoshinda kwenye hizi mechi za Kirafiki, Super 8 na Kagame kwa kipindi hiki kifupi cha Julay-August ni Neema tosha kwa Simba kwani mpaka ligi kuja kuanza itakuwa imeisha jua ni wapi imejikwaa na kufanya malekebisho stahiki; wasiojua falsafa ya Soka watabaki wakitegemea Simba iendelee kuvurunda kumbe inakuja kwa style na speed nyingine.
Halafu kingine kinachonipa faraja mimi kama mwanasimba ni kwamba simba kuna wachezaji wengi, waliocheza dak45 za kwanza siku ya nane nane ni wengine na kipindi cha pili waliingia wachezaji wanane kama sub, hicho kimemfanya kocha kuona makosa yako wapi, kikosi cha vijana bado kuna vijana kadhaa wameenda Nigeria lakini waliobaki wanafanya mambo ya kutisha. Na magoli yaliyofungwa si yote ya penati kama anavyopotosha mdau mmoja, goli moja tu ndo la penati na penati haipatikani katikati ya uwanja inaonekana kikosi ni kizuri kama kinafika hadi kwenye sebule ya mpinzani na naye anacheza faulo unategemea nini?.