Weka picha ya kibamia hicho kwanza
ndio ili tuweze kukupa ushauri vizuriUna maana nijipige picha kibamia changu?
Weka picha ya kibamia hicho kwanza
ahahahaaaaa...dogo wee mngese kichizi...story yoooooote kumbe unataka kujua kama kiji-boo chako ndio kivutio cha mashemeji zako...jibu ni NDIOOOO....maana shemeji zako wanaonesha kila dalili ya kuwa na mabwana au waume ambao mitalimbo yao IMELALA DOROOOO...soo hicho cha kwako ni better off than those big toy gunz of their mens...ahahaha dogo kama nakuona ulivyofirahiii.....ndo manake...kisu bonge la silaha vitani ikiwa mi-nuclear na makombora yote ni mabovu na useless.
Kwani ndugu za huyo mkeo mtarajiwa nao tayari umetembea nao, au hicho kiungo wamekijuaje?32yrs ndo umuri wangu.
Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi
nimshukuru mungu kinafanya kazi kikamilifu.Tatizo nlilo nalo ni kwamba marafiki wengi wa girl frends nilopata kua nao hunitaka kimapenzi,na hali hii ni tangu nikwa shule sec na inaendelea hadi leo hii!! Hufikia wakati hutokea ugonvi baina yao kwani ni sheji zangu wengi wamewazunguka rafiki zao baadae siri inavunjika baada ya penzi kunoga! Bahati abayo inabidi niite mbaya wengi wao hunihonga.Sasa hivi njiona nahitaji kua na familia yangu hivyo nimeacha u-ply boy na kua na msichana m1 ili awe mke baadae. Kwa sasa tuna miezi 6.Jamani balaa imeanza tena! Dada yake ananisubua kwa vishawshi ananijazia gari yangu mafuta kila wiki na mara nyingine hupenda nitumie gari yake!!,mdogo wake huleta zawadi hadi nguo za ndani!,rafiki yake wa karibu pia yaleyale!
Hapa najiuliza haya maumbile yangu ndo sababu au kuna jingine? Ushauri wenu wana JF
kijana,kwa vile kijibamia chako ni kidunchu lakini kinakamua wadada unaotembea nao huwa-hadithia wenzao so wanataka ku-prove tu!kuna jamaa alikuwa anavaa shanga wadada wakawa wanamiminika kutaka kujua ni kweli,na jamaa kuna siku alikuwa havai,basi ubishi mtaani ulivyoongezeka ndio mademu wakawa wanamiminika zaidi!ni kweli kiungo chako ni kivutio
Kwani ndugu za huyo mkeo mtarajiwa nao tayari umetembea nao, au hicho kiungo wamekijuaje?
mkamue tu.....! ila wife asijue.
ahahahaaaaa...dogo wee mngese kichizi...story yoooooote kumbe unataka kujua kama kiji-boo chako ndio kivutio cha mashemeji zako...jibu ni NDIOOOO....maana shemeji zako wanaonesha kila dalili ya kuwa na mabwana au waume ambao mitalimbo yao IMELALA DOROOOO...soo hicho cha kwako ni better off than those big toy gunz of their mens...ahahaha dogo kama nakuona ulivyofirahiii.....ndo manake...kisu bonge la silaha vitani ikiwa mi-nuclear na makombora yote ni mabovu na useless.
ndio ili tuweze kukupa ushauri vizuri
Asante mdogo wangu kwa kunijulisha ili nikushauri vizuri. Sasa ni hivi kama ni uplayboy wote tumefanya na wakati mwingine tulikuwa tunaona ni sifa kutembea na wanawake wengi lakini kwa kweli ukweli ni kinyume chake. Sasa kwa kuwa umeamua kubadilika suala la muhimu ni kuwa na msimamo wewe mwenyewe na kuwa muwazi kwa yeyote ukiona anakutia majaribuni. Wewe mwambie tu kwamba ukaribu au hili na lile unalofanya kwangu nisingependa liendelee, mkumbushe uhusiano wako na huyo mkeo mtarajiwa. Kwa mfano umesema dada wa huyo mtarajiwa huwa anakujazia mafuta kwenye gari na wakati mwingine kutaka utumie gari lake, wewe mhoji ni kwa nini anafanya hivyo na kama hutaki unamweleza waziwazi usife na tai shingoni ni vema wakaujua msimamo wako mapema. Lakini pia mweleze huyo mchumba wako kuhusu hiyo mienendo ya ndugu na rafiki zake usifiche jambo lolote kwake ambalo unaona linatishia uhusiano au future yenu nzuri.Hawa ndugu wa mtarajiwa sijatembea nao ila hivyo vishawshi vyake ni balaa! Kama nlivyosema nimeamua kutulia,vinginevyo nigeshatembea nao wote
unachowafanyia wanasimuliana, hivyo hakuna anayependa kuikosa asali, kuwa karibu sana na umpendae itasaidia
inaelekea hicho kibamia kitakuwa na miiba si bure.