janja pwani
Senior Member
- Jul 27, 2011
- 104
- 9
Kwa nini huyo kiroboto asije mwenyewe kukanusha au kukubali juu ya iman yake. Kwani amekuwa popo yeye.! Na hao masheikh kwa nini wausemee moyo wa Fatuma Kimario.?
msituleteeee udini kwa reporter wetu lohwakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha radio imani wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni kuudhalilisha uislamu, katika habari "dc fatuma kimario si muislamu" wamesema kwanza mwenyewe aliishasema "kwa mujibu wa dini yangu ya uislamu kitendo cha kunivua hijabu ni kama wameniwacha uchi" naye sheikh wa mkoa anasema bi fatuma ni muislamu safi na huwa tunasali naye hapa msikitini na hata ijitimayi iliyofanyika nairobi mwaka jana tulikwenda naye, na shughuli zote za hapa msikitini huwa anashiriki hata usafi wa msikiti huwa anashiriki na wakina mama wenzie, siku ya ijumaa huwa anafika mapema hapa msikitini, kwa hiyo nashangaa mtu anaposema mama huyo ni mkristo, alisema sheikh huyo wa mkoa wa tabora.
....kazi..kulala msikitiniHivi hao mashehe hawana kazi za kufanya? Kila kukicha 'ONYO' huyo DC mwenyewe wala hajui yeye ni dini gani
..hakuna..Hivi nini uhusiano wa utendaji kazi na hijab??
After all what is Kimario mpaka asumbue watu. Just a lady like any mother. Masheik hawana la kufanya la maana mpaka waende kwenye upuuzi huo. Illiteracy ya masheick, elimu ndogo inawasumbua. Sidhani kama maaskofu ( siwasemei) wanaweza kuhangaika na sister aliyevuliwa shela in whatever way particularly pale anapokutwa anafanya mambo ambayo yanatia mashaka. Masheick nendeni shule, jadili maendeleo ya waislamu, jenga shule, zifanye zilizopo zifanye vizuri etc. Acha kushupalia ujinga