Kiburi si uungwana
Member
- Sep 6, 2018
- 93
- 291
Yote ni Biashara kakaKuna sehem kkoo nanunua mashati elf 12 kwa jumla kama unachukua kuanzia matano na 15 kwa rejareja
Hhhahahah ndo tunajfunza ujacr wa Mali ndugu.... Tutaimprove huduma usijalMkuu Hilo shati ulikua unavaa umeamua uliuze au vipi,,,[emoji23][emoji23][emoji23], kweli vyuma vimenyonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hilo shat nmeamua kupga picha kama mfano,Mtu kanunua shati limekuwa kubwa kaamua kuliuza
Ongeza picha mkuu
Mjasiriamali alie siriaz akiona tangazo limekosolewa kama hivi kwa kuweka picha chache basi ana edit fasta na kuongeza mashati mengine zaidi. Akija na comment hapa anakuambia kua ameshaingeza mashati.Hhhahahah ndo tunajfunza ujacr wa Mali ndugu.... Tutaimprove huduma usijal
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]aiseeMkuu Hilo shati ulikua unavaa umeamua uliuze au vipi,,,[emoji23][emoji23][emoji23], kweli vyuma vimenyonga
Sent using Jamii Forums mobile app