Kweli kabisa Na Lowasa si mbaya sana hata kuliko mafisadi wanaogawana Pesa za escro hadharaniapewe tu nafasi ya juu maana nguvu aliyo nayo ni rahisi san kuitoa ccm madarakani
pia hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa cha msingi anatakiwa kujisafisha yeye mwenyewe kabla wengine hawajamsafisha
Kina Mbowe ndiyo wanaomba sasa wewe unampangia tena.UKAWA hapana aende ACT ili akakiinue kikikomaa basi wanaweza kumuachia ukiongozi mkuu wa chama.
Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.
Uwezekano huo ni finyu sana kama vile kumlamisha ngamia apenye kwenye tundu la sindano!
Apewe nafas ya juu ktk ukawa hapo lazma tuing'o hiyo chama iliyopo dolan
Unajua kaka mystery sisi watanzania sijui ata tuna tatizo gani,sijui ata nini kimetufanya watu tusahau uwovu wa el mtu ambae ata watoto wa miaka 10 ukiwauliza fisadi ni nani tz watakwambia ni el.swali dogo la kujiuliza kwa nini el anasaport kubwa ya wafanya biashara ambao kalibu wote hawaelewani na mkwere.utagundua el anataka kwenda ikulu kwa maslai binafsi maslai ya kundi furani na si maslai ya nchi.
Hakuna mtu anayethibitisha ufisadi Wa Lowasa. Tumeona mafisadi hadi Wa escro lakini bado wanapeta ndani ya CCM!
Ni kweli Masharti ni magumu lakini yanawezekana. Inabidi Lowasa afanye Maamuzi magumu.Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.
Uwezekano huo ni finyu sana kama vile kumlamisha ngamia apenye kwenye tundu la sindano!
Tambua kua kwa kiongozi kua kwenye kashfa tu ya ubadhilifu ilo ni dowa teyali..na pia io issue ya escrow unayo iongelea nadhani bado nayo hatuna ushaidi pia juu ya hao watuhumiwa(prof muhongo)..
mkuu ikumbukwe hitaji la mamv c ubunge wala uwazir bali ikulu fulstop.kama anakarbishwa hil ndo hitaji zingne mbwembwe. napita
Mwalimu Nyerere alituusia kuwa ukimuona mtu anakimbilia Ikulu kwa udi na uvumba tena yuko tayari kutumia hata mabilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhonga honga watu ili aingie Ikulu, mtu huyo ni wa kumwogopa kama ukoma.Unajua kaka mystery sisi watanzania sijui ata tuna tatizo gani,sijui ata nini kimetufanya watu tusahau uwovu wa el mtu ambae ata watoto wa miaka 10 ukiwauliza fisadi ni nani tz watakwambia ni el.swali dogo la kujiuliza kwa nini el anasaport kubwa ya wafanya biashara ambao kalibu wote hawaelewani na mkwere.utagundua el anataka kwenda ikulu kwa maslai binafsi maslai ya kundi furani na si maslai ya nchi.
Na ukumbuke anae faha kua raisi ni yule mtu asie na kashfa ambae ahanzi kwa kutetewa kwa wananchi....el alikua lazma ahanze kwa kutetewa kua yeye sio mwizi.so afahi kuwa raisi uyo.monduli inamtosha.Mkuu Hakuna ushahidi ulio wazi Kama Wa escro. Sema escrow tume haikuundwa tungesikia mengi