Mkuu usitoe matusi toa hoja. Anaweza kujitetea Na kutoa ushahidi ukashangaa kumbe Lowasa hakuwa fisadi
Awe mwanachama wa kawaida tu asipewe uongozi
Ni vizuri Lowasa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;
-aikane CCM hadharani
-Azikane mila za kifisadi za CCM
-kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa-
-Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan Na Karamagi-
-Aahidi kutosaliti UKAWA-
-Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo Chadema kwa sababu Chadema waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi
-Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako
-Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA-
Nakubaliana nawe Mwakalebela kuwa masharti aliyotoa huyo mleta post ili mzee wa mamvi aweze kujoin Ukawa ni magumu mno ambapo naona ni next to impossible kwa EL kuyakubali.Masharti magumu sana kwa lowasa kwakua nia na dhumuni kubwa la lowasa ni kushika dola 2015 sasa kama ukawa hawatomuakikishia nafasi ya kua mgombea uraisi nadhani aendi popote....
Ni vizuri Lowasa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;
-aikane CCM hadharani
-Azikane mila za kifisadi za CCM
-kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa-
-Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan Na Karamagi-
-Aahidi kutosaliti UKAWA-
-Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo Chadema kwa sababu Chadema waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi
-Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako
-Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA-
sio matusi, anashangaza kusema apewe uanachama NCCR na sio CHADEMA,Kwanin NCCR?kwan chadema hawawez kumsafisha kama sio fisadi, tuache ubinafsi maana ubinafsi ndo kikwazo kikubwa cha mabadiliko na ili tupate mabadiliko tusisimame kama chadema au nccr au cuf tusimame kama UKAWA Thats all
Ukawa ni chama gani?
Ukawa ni chama gani?
Awe mwanachama wa kawaida tu asipewe uongozi
mkuu ikumbukwe hitaji la mamv c ubunge wala uwazir bali ikulu fulstop.kama anakarbishwa hil ndo hitaji zingne mbwembwe. napita
Kwi kwi kwi kwi!Ni vizuri Lowassa akakubaliwa UKAWA kwa masharti yafuatayo;
Aikane CCM hadharani.
Azikane mila za kifisadi za CCM.
Kama ufisadi anasingiziwa basi aseme kwa nini anasingiziwa.
Awakane marafiki zake mafisadi kama Rostan na Karamagi.
Aahidi kutosaliti UKAWA.
Awe mwanachama wa -NCCR mageuzi siyo CHADEMA kwa sababu CHADEMA waliwahi kumuweka kwenye kundi la mafisadi.
Apewe nafasi yoyote ndani ya UKAWA lakini si nafasi ya mgombea urais-sababu itakuwa ni Ujinga kumuamini mgeni kiasi cha kumuachia uongozi wa nyumba yako.
Akubali masharti mengine atakayopewa na UKAWA.