Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,290
- 40,530
Andaa bajeti ya mln 15 afu dogo Marekani. Unaenda kama mtalii au kutafuta maisha mbona naona kama unakwenda kutuletea zawadi za mapicha tu na hamna chochote cha maana utachopata labda uende Swaziland au Bangladesh unaweza kuambulia hata bikraHabarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.