Masharti ya kwenda Marekani.

Masharti ya kwenda Marekani.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.
 
una mil.5 unataka kwenda kwa trump njoo tuzile tuu
Kuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.
Ungekuwa unajua ungeshauri kwenye 5 niongeze ngapi na sio huo ujinga uliotoa hapa.
Hivi ni lazima kila uzi uchangie?
Jiheshimu humu ni great thinkers sio wajinga.
 
5 milioni ni kama usd 2000 na ushee. Sidhani kma hata nauli ya kwenda tu inatosha.
 
Habarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.

Kikubwa US embassy wanataka uthibitisho that you have things that will bring you back home kikubwa ni mke na watoto, they believe ukiwa na family huwezi kuzamia forget about cars and houses
 
Kuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.
Ungekuwa unajua ungeshauri kwenye 5 niongeze ngapi na sio huo ujinga uliotoa hapa.
Hivi ni lazima kila uzi uchangie?
Jiheshimu humu ni great thinkers sio wajinga.
Hili ndo povu lenyewe mkuu, roughly iyo amount yako ni sawa na $2500 sasa apo tuseme huna passport na hujaapply visa, bado vitu vingine extra.. Documents booking place utakayo fikia.. Lol ndo maana uyo member kasema uzile tu..au tafuta nchi ingine.. Ila i stand to be corrected
 
Habarini za jioni ndugu zangu.
Nimejiwekeza hapa nimepata kama mil 5.
Sasa nahitaji niione tu marekani kwa macho yangu sio kusimuliwa kila siku na kuiona mtandaoni.
Sada naomba nijue vigezo kuanzia visa mpaka kukubaliwa kwenda huko na sina hata ndugu huko.
Na je nauli zipoje kwa sasa kwa kuangalia ndege ambayo ni nafuu sana.
Msaada ndugu zangu.
Ikishindikana hata China nayo naipenda pia.
Kiroho safi tu mkuu nakushauli uende Serengeti,achana na huko kwa Trump kwanza sidhani kama watakupa visa
 
Kiuhalisia hiyo hela ndogo Sana kwa ajili ya kwenda Marekani.
 
Kikubwa US embassy wanataka uthibitisho that you have things that will bring you back home kikubwa ni mke na watoto, they believe ukiwa na family huwezi kuzamia forget about cars and houses
Pia unapoenda kufanya interview wao wanaamini ukienda hutarudi sasa wewe uthibitishe kwamba utarudi. Ila kama hujaoa na huna familia au huendi kusoma inakuwa ngumu zaidi
 
Kuwa serious kama mimi nilivyo acha u firauni.
Ungekuwa unajua ungeshauri kwenye 5 niongeze ngapi na sio huo ujinga uliotoa hapa.
Hivi ni lazima kila uzi uchangie?
Jiheshimu humu ni great thinkers sio wajinga.
Umenena vyema sana mkuu
 
Back
Top Bottom