Masharti ya kuwa ADMITTED tena UDSM+

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Haya masharti ya kuwa admitted tena chuo ni soo. Sijui kawa wote wataweza hapa kurudi.
[media]http://udsm.ac.tz/Application%20for%20re-admission%20advert_Final.pdf[/media]
 
hehehe
maana yake wakirudi wamelipa hawatagoma tena dats what nadhani wanajaribu ku bana....

lets wait n see!ila for me naaanza kuhisi hisi more matatizo!
 
Hizi ndo njia zinazozuia migomo katika shule za viwanja, maake kila mtu hubeba mzigo wake mwenyewe. Kuna wanaolipiwa na serikali 100%+ na wengine wanakuwa aproved kiasi kidogo sana kiasi cha kwamba inabidi uangalie mikopo kwa mabanks Na wengine 0%. Na ukishindwa kulipa wanakutoa baruti hapo hapo. Hii njia inafaa sana kukwepesha migogoro isiyo na lazima, DSM inapashwa kuweka mikakati kwamba hiyo percentage mwanafunzi anayopashwa kuchangia inafika shule kabla ya mwanafunzi huyo hajatia mguu pale mlimani na kwingineko!
 
Mod iunganishe hii na ile ya Re-Admission form for UDSM, maudhui ni yale yale.
 
Back
Top Bottom