Masharti ya ajira utumishi wa UMMA

Masharti ya ajira utumishi wa UMMA

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
3,290
Reaction score
3,946
Akizungumza jana bungeni,katibu mkuu kasema serikali itaanza kutoa ajira kwa wale waliopitia JKT tu sababu hao ni wazalendo....hv uzalendo na nchi ni mpk upite JKT?..viongoz wa sasa waliopita JKT wanaoandamwa na rushwa kila cku ni wazalendo?..ambao hawajapitia JKT walijitakia wenyew au ni mfumo huo ulisitishwa na serikal?...wasiopitia JKT hawana haki ya kutumikia taifa lao?..j e hao wanaopitia JKT wanaweza patiwa ajira wote?...ningekuwa mm ningefuta kauli.
 
katibu mkuu aliingiaje bungeni, kwani anaruhusiwa kuingia kwenye vikao vya bunge?
 
Akizungumza jana bungeni,katibu mkuu kasema serikali itaanza kutoa ajira kwa wale waliopitia JKT tu sababu hao ni wazalendo....hv uzalendo na nchi ni mpk upite JKT?..viongoz wa sasa waliopita JKT wanaoandamwa na rushwa kila cku ni wazalendo?..ambao hawajapitia JKT walijitakia wenyew au ni mfumo huo ulisitishwa na serikal?...wasiopitia JKT hawana haki ya kutumikia taifa lao?..j e hao wanaopitia JKT wanaweza patiwa ajira wote?...ningekuwa mm ningefuta kauli.

Pu.m.b.a.f zao.....hao jkt wanaujuzi wakutosha? Uku ntaani pamejaa degree na masters hazina ajira ndio waende wakawachukue hao watoto Wa jkt a.k.a form 6 ?
 
Back
Top Bottom