D dingi007 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 881 Reaction score 1,356 Mar 15, 2023 #41 brazaj said: Hadi tutakapoipumzisha CCM, bado tupo tupo sana Click to expand... Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapo
brazaj said: Hadi tutakapoipumzisha CCM, bado tupo tupo sana Click to expand... Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapo
D dingi007 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 881 Reaction score 1,356 Mar 15, 2023 #42 Mavipunda said: Hili suala litamuondoa Ummy mijino pale Afya au Anna Makinda Manywele kama Mwenyekiti wa Bodi Click to expand... Kwamba mpaka inafikia kuanza utekelezaji itakuwa haikupitia Baraza la Mawaziri ! Kama akitolewa itakuwa ni kumfanya mbuzi wa kafara tu ila jambo hili lina baraka zote.
Mavipunda said: Hili suala litamuondoa Ummy mijino pale Afya au Anna Makinda Manywele kama Mwenyekiti wa Bodi Click to expand... Kwamba mpaka inafikia kuanza utekelezaji itakuwa haikupitia Baraza la Mawaziri ! Kama akitolewa itakuwa ni kumfanya mbuzi wa kafara tu ila jambo hili lina baraka zote.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Mar 15, 2023 #43 dingi007 said: Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapo Click to expand... Tatizo si watu wa kuwapa kwani hata hawa waliopo unadhani ni wajinga kiasi hili? Kwa katiba iliyopo wanajikuta kwenye mazingira ya kulazimika haya: Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia 1. Sifia sifia 2. Kusanya hela Kwa vyovyote Si kuwa kina Ummy, Mwigulu au Zungu hawayaoni haya. Ila sasa kwa mazingira ya sasa wanafanya je?
dingi007 said: Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapo Click to expand... Tatizo si watu wa kuwapa kwani hata hawa waliopo unadhani ni wajinga kiasi hili? Kwa katiba iliyopo wanajikuta kwenye mazingira ya kulazimika haya: Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia 1. Sifia sifia 2. Kusanya hela Kwa vyovyote Si kuwa kina Ummy, Mwigulu au Zungu hawayaoni haya. Ila sasa kwa mazingira ya sasa wanafanya je?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jul 17, 2023 #44 Extrovert said: Toto ni aidha umlipie mtoto 120,000 shuleni au Aunganishwe kwenye kifurushi cha kuanzia laki 504000 cha baba mama na mtoto. Click to expand... Una information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old?
Extrovert said: Toto ni aidha umlipie mtoto 120,000 shuleni au Aunganishwe kwenye kifurushi cha kuanzia laki 504000 cha baba mama na mtoto. Click to expand... Una information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,147 Reaction score 190,643 Jul 17, 2023 #45 Dr Matola PhD said: Una information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old? Click to expand... Hapana sina hizo
Dr Matola PhD said: Una information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old? Click to expand... Hapana sina hizo