Msewelo iko umbali gani kutoka Kilosa Mjini?Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia 170,000/= kwa heka,mwenye kuhitaji ani PM please!
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia 170,000/= kwa heka,mwenye kuhitaji ani PM please!

Hizo za karibu na mtoni zimebaki chache,watu wanazimbilia sana za karibu na mto,hizo nyingine bado zipo za kutosha
Mkuu naomba ni Pm namba yako,hata hizo chache zitasaidia,kama zitakuwepo mpaka jumatatu nitakuja kuzilipia!si eneo ambalo halijaguswa na lenye rutuba ya kutosha lakini?maana najua Morogoro ni mkoa potential sana kama unataka kulima kwa mafanikio,ni PM namba yako tafadhali
Mkuu nashukuru mtu uliyeniunganisha nae amefanikisha zoezi langu,nami nakua mwana Msowelo nakuja kuanza kilimo cha vitunguu na hoho!nimechukua heka 7 pale karibu na project yako!nakushukuru sana mkuu