Mashamba yanauzwa Kibaha Madafu

Mashamba yanauzwa Kibaha Madafu

Titu Bwai

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
27
Reaction score
1
Habari wana JF... Yale mashamba ya Kibaha Madafu bado yapo... Kuna watu walienda serikali ya mtaa tofauti so wakaambiwa vitu tofauti na kuona kuwa kuna UTAPELI unataka kufanyika...

Jamani HAKUNA UTAPRLI WOWOTE ule unaofanyika juu ya uuzaji wa mashamba hayo... Wauzaji/Wamiliki wa mashamba hayo ni wanakijiji wa Visiga Zegereni na sio Visiga Madafu...

Kuna ambao walienda vizuri na mpaka ofisi za kata walifika wakajiridhisha na kununua mashamba...

Mashamba yanauzwa kwa heka na kila heka 1 bei ni 1.8m ila punguzo lipo kwa atakaechukua heka 5 au zaidi
***** Bei ni 1.8m kwa heka ****

Narudia tena HAKUNA UTAPELI na wala mimi sio TAPELI... NYOTE MNAKARIBISHWA

Call #0714009817
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom