Mashamba ya umwagiliaji

Mashamba ya umwagiliaji

yujomas

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
14
Reaction score
3
Ndugu wan JF naomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu sehemu ambayo ina mashamba ya umwagiliaji kwa mikoa ya Dar es salaam na Pwani nahitaji kuanzaisha kilimo cha umwagiliaji wa mbogamboga na mahindi mabichi. Nimetafuta ajira nimekosa .
 
Shamba la umwagiliaji maana yake ni ardhi ambayo imewekewa mfumo wa kumwaga maji kwa ajili ya mimea iliyopandwa. Sehemu yoyote inaweza kuwa shamba la umwagiliaji. You can make your own shamba la umwagiliaji. Sijaelewa msingi wa wewe kutafuta sehemu maalum inayoitwa shamba la umwagiliaji...
 
maana yangu ni kwamba eneo lenye chanzo cha maji hasa mito isiyokauka
 
sina majibu kwa mikoa ulouliza,. ila nakushauri ufuge kuku wa nyama wanalipa sana hapa town mkuu, ni biashara ambayo ukiifanya kitaaalam hutakaa ukajutia uamuzi wako..
 
Nimefurahi kusikia hivyo, nina mpango wa kuanza ufugaji ila nilikuwa nafikiria kuku wa mayai-- ningependa kudadisi kwa nini umeshauri kuku wanyama? asante

sina majibu kwa mikoa ulouliza,. ila nakushauri ufuge kuku wa nyama wanalipa sana hapa town mkuu, ni biashara ambayo ukiifanya kitaaalam hutakaa ukajutia uamuzi wako..
 
Back
Top Bottom