Mashamba ya kukodi na Kununua yanapatikana

Kwa mujibu wa taarifa uliyoandika (Chanika na ukubwa wa eneo) hiyo bei uliyotoa iko juu. Labda kama kuna maelewano mkuu.
Yaani mkuu square metres 30×35 ni ndogo kwa millions 4?, haupo serious
 
Sidhani kama umenielewa mkuu. Mimi nina maeneo huko ndio maana nilikujibu kiungwana tu na wala sikuwa na nia tofauti zaidi ya kujaribu kuweka kumbukumbu sawa.
 
Unayo Chanika ipi?
 
Natafuta maeneo ya kulima na kujenga ndani ya manispaa ya Morogoro
 
Back
Top Bottom