mtufudenge Member Joined Jun 7, 2016 Posts 9 Reaction score 13 Jun 19, 2016 #1 Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kununua au kukodi-Ruvu . Asanteni kwa msaada wenu.
Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kununua au kukodi-Ruvu . Asanteni kwa msaada wenu.
KIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,369 Reaction score 1,517 Jun 20, 2016 #2 ruvu unaweza kupata lakini kuwa makini matapeli ni wengi sana unaweza kuuziwa shamba la mtu kama huko serious tuwasiliane nikuunganishe na wadau kuna mashamba nayafahamu maeneo ya kiwangwa yanayomilikiwa na wenyeji.
ruvu unaweza kupata lakini kuwa makini matapeli ni wengi sana unaweza kuuziwa shamba la mtu kama huko serious tuwasiliane nikuunganishe na wadau kuna mashamba nayafahamu maeneo ya kiwangwa yanayomilikiwa na wenyeji.
L lawyer2 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 224 Reaction score 67 Jun 20, 2016 #3 Mkuu wanakodishaje kwa hekari 1