Nianze kwa kuuliza untaka kulima zao lipi haswa... Mm nipo maeneo ya Shinyanga 10 km toka Kibiti town. Jirani yangu anauza heka 8 zilizosafishwa tayari. Curently 2nalima ufuta... Karibu ukiwa interested ntafute kwa 0763328830
mashamba yanapatikana huko mpaka sasa ukwiriri posta ukishuka hapo maeneo ya mbunjo na sehemu zingine mashamba yapo ila kuuziwa na serikali ya kijiji huko bado watu kuamka, ni kweli udongo wa huko ni virgin na una rutuba sana...
Nimeambiwa kuwa maeneo ya Kibiti (around 130 km from Dar) mashamba yapo yanauzwa Tshs. 60,000 (elfu sitini tu) Kwa ekari moja na yana rutuba sana. Mihogo, mananasi na ufuta vinastawi Kwa sana.