Mashamba ya bei rahisi

VIP upatikanaji wa MAJI na kiangazi kinakuaje,udongo ni wa rangi gani
 
VIP upatikanaji wa MAJI na kiangazi kinakuaje,udongo ni wa rangi gani
Kiasi kikubwa ni Udongo Mwekundu, Mfinyanzi na Mchanga ni baadhi ya maeneo Machache tu., Maji ni Changamoto hususani kipindi cha Kiangazi hivyo kama unahitaji Kilimo kwa Mwaka Mzima lazima uchimbe Kisima, vinginevyo utafute Shamba ambalo limepitiwa na Mto Msangazi!
 
Nimetoka huko, uko sawa kabisa heka haizidi laki na shamba unakuta halipo mbali na barabara
 

Nimeomba mawasiliano yako mkuu
 

Mkuu, mazao gani yanakubali sana maeneo hayo?
 
Handeni sehemu gani?
 
ni Pm mkuu !
 
karibu morogoro mashamba yapo meng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…