Habari zenu wapendwa wa JF,
Nilikuwa naomba mtu mwenye wimbo wa weusi unaoitwa Mdundiko naomba aniandikie hapo chini kuanzia kiitikio na ubeti wa kina G Nako, Nikki Wa Pili.
Joh Makini na Bonta Maarifa maana mimi nimeshindwa kuusikiliza maana masikio yangu yana matatizo.
Asanteni