Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
na mashairi ya nyimbo je? Nataka nianze kuflow reggae for my own interest but sina vina
unatakiwa ulipie gharama ya tangazo lako,hakuna cha bure siku hizi.Naandika mashairi na tenzi zenye vina na mizani kwa shughuli tofaut kama sherehe ya harusi, kipaimara, ekaristi, ubatizo, send off, birthday, nk. Mashairi ya faraja, mapenzi, ujasiri nk. Bei ni nafuu. Kwa mawasiliano zaidi 0765778250, 0718651585 au nyawalen@gmail.com au nichek facebook [Balozi wa moro]. Zingatia:NAANDIKA MASHAIRI ILA UTAGHANI MWENYEWE! Aksante
embu tuandikie shairi la JF hapa,tukupime.