Nisaidieni mimi mjinga, kwanini tangu Lowassa ahamie CDM washabiki na wanachama wake wamekuwa kama maZombie? Hii ni kwa wale wanaotaka kunisaaidia tuu.
Asante. Na wewe ni zombie?Msaada pekee tunaoweza kukupa ni kukutumia makamanda walioshiba waje wachukue nafasi ya mumeo unyooshwe ili hicho kimuhe muhe chakuona mazombie kitulie sawa dada??
Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa vyama vingi TZ kura yangu itaenda kwa chama tawala.
Upinzani umenifanya nione kuwa hakuna haja ya kuwepo upinzani ...
Upinzani gani hauna jipya.
Upinzani gani hauna msimamo
Upinzani gani unakumbatia mafisadi na kujitahidi kuwasafisha,,,,,
Upinzani hovyo kabisa

umehama lini CCM?
vipi mumeo sikuhizi sio zombie?Uko katika kundi la watu wengi wanaoona ukweli huu. Hongera kwa kukwepa kuwa zombie.
Nisaidieni mimi mjinga, kwanini tangu Lowassa ahamie CDM washabiki na wanachama wake wamekuwa kama maZombie? Hii ni kwa wale wanaotaka kunisaaidia tuu.
daaaa kweli kunya anye kuku akinya bata_ _ _ .....zitto alipoenda act na kukaa wiki kupewa uongozi wa chama mliongea kweliiii Leo Hi mtu cku moja tu na anachukua tu anachukua fom na mnampa ugombea uraisi mnaona kawaida Sanaa...