Mashabiki wa Tanzania mnataka simba iifunge timu gani hapa Africa?

Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.

Je, wangependa kusikia al ahly imeshapigwa ni ya kawaida kwa simba kaizer chiefs ni ya kawaida kwa simba,wydad ni ya kawaida, Nkana ni ya kawaida,pryamid kwa sare na azam ni ya kawaida kifupi galaxy ni bora na imefungwa na timu bora zaidi.

Kifupi simba kwa haya mashindano ya Africa kwa sasa nae ni kigogo yupo ndani ya kumi bora.
Swali la kumalizia ajifungishe ili mwakani wengine wakose mbeleko au waendelee ili watoe msada kwenye tuta?

Ni hayo tu!
utopolo hawatakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Na nyie mliomanuliwa nje ndani na Rivers United tuwaweke kundi gani? Luc alikuwa sahihi kuwaita nyie kima.
 
Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.

Je, wangependa kusikia al ahly imeshapigwa ni ya kawaida kwa simba kaizer chiefs ni ya kawaida kwa simba,wydad ni ya kawaida, Nkana ni ya kawaida,pryamid kwa sare na azam ni ya kawaida kifupi galaxy ni bora na imefungwa na timu bora zaidi.

Kifupi simba kwa haya mashindano ya Africa kwa sasa nae ni kigogo yupo ndani ya kumi bora.
Swali la kumalizia ajifungishe ili mwakani wengine wakose mbeleko au waendelee ili watoe msada kwenye tuta?

Ni hayo tu!
Yanga
 
wanachokisema ni sahihi kwa tulipokua tumefikia msimu jana, ukweli tumerudi nyuma hatua nyingi kabla ya kufika tulipopataka, ukiondoa yale magoli ya bahati nasibu hakuna cha ziada tulichokifanya jana na mechi ya marudiano ndo itakupa picha ya nisemacho.
Tumecheza mechi nne

Dhidi ya Yanga, hii mechi ilikuwa derby

Dhidi ya Biashara, away kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri?

Dhidi ya Dodoma, away tena kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri

Dhidi ya Galaxy, away kwenye knock out stage misimu iliyopita tulifungwa na Nkana tuka fungwa na Platinum

Niambie tume drop vipi?
 
Wewebn una Avatar ya namba 456 halafu unajiita namba 1?
 
Tumecheza mechi nne

Dhidi ya Yanga, hii mechi ilikuwa derby

Dhidi ya Biashara, away kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri?

Dhidi ya Dodoma, away tena kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri

Dhidi ya Galaxy, away kwenye knock out stage misimu iliyopita tulifungwa na Nkana tuka fungwa na Platinum

Niambie tume drop vipi?
tuupe nafasi muda utupe majibu maana tutabishana bure mpaka basi
 
mbona unanilisha maneno mkuu, sijasema pasi ndo kiwango bt mpira tunaocheza sasa hauna mipango ya kutafuta magoal kama awali, unadhani bila yale magoal ya kubatisha tungeshinda?
Kwann was inge shinda na wakati Wame shinda??

Mpira ni mbinu ndugu.. Simba walicho fanya wao wakatafuta magori wa kapata.. Kilicho Fata ni kushusha Presha ya gem... Ndio mana Wame Pata matokeo.

Ukisha Pata Goli nini unataka Tena??

=unaakumbuka kilicho fanya simba wafungwe na kaiza?

Mpira ni sayansi hasa pale watu au timu inapo jaribu kutaffuta matokeo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana Vita walikula 4,Merrick 4 Platinumz 4, Kaizer 3. Wakasema ooh kuna Corona ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu, hao jamaa nadhani imeshakuwa desturi yao, kila mwaka lazima kuwe na sababu ambazo wanalazimisha zionekane zina hold water!

Mwaka jana, hakuna hata Uto aliyekubali kuwa Simba walikuwa vizuri, zaidi ya kubeza na kusema wamebahatisha.

Mwaka huu, wamekuja na sababu nyingine kuwa simba wanabahatisha, wakati huo huo wanafahamu fika Simba kachukua point tatu ugenini!

Sielewi walitaka Simba icheze na timu gani hasa, na hata angecheza na Al Ahly ingekuwa marudio tu, sabab Sio mara ya kwanza simba kumfunga Al Ahly!

Anyway, ukishakuwa mshabiki wa mpira, muda mwingine unajitoa akili ili kujifariji dhidi ya mwenendo mbaya wa timu yako.
 
Back
Top Bottom