Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Weka pesa acha porojo.
Mikia kufuzu ana alama 10.
Kaizer kwa Mkapa atakufa goli kuanzia nne,najua hautaamini lakini sisi wenye Simba yetu mipango na uwezo huo tunao.
Kamati ya ufundi ilianza kazi kabla timu haijarejea hapa nyumbani,na kwa kazi nzuri iliyofanyika ushindi upo na Simba itafuzu kwenda nusu fainali.sikulazimisha kuamini.
Simba nguvu moja.
 
Umkimbie Simba taifa halafu uje kushangilia kazi usiyoiweza!
Taifa nani kamkimbia mwenzie?. Huyu paka ndio kakimbia. Hakuja uwanjani kabisaaa.... Walikuwa na hofu wataumizwa wapuuzi hawa,na bado hawajaumizwa wamebugizwa 4-G
 
Tukutane Julai 3, tena wachezaji wako wameanza kukimbia kambini, wengine wanajiandaa kurudi Burundi. Sijui hiyo Julai utakuwa umebaki na nani
 
Hiyo itakuwa ni mechi ya kirafiki tu. Kwa hiyo haina umuhimu sana.Mechi ya ligi ilishakata siku ile mliyokimbia
 
Hakuna mechi ya kirafiki inayoingiza point kwenye msimamo wa ligi. Mechi lazima ichezwe!
 
Hiyo itakuwa ni mechi ya kirafiki tu. Kwa hiyo haina umuhimu sana.Mechi ya ligi ilishakata siku ile mliyokimbia
Kwa nini iwe ya kirafiki wakati timu zinazocheza zitakuwa zinagombania kuwa mabingwa?
 
Kaizer kwa Mkapa atakufa goli kuanzia nne,najua hautaamini lakini sisi wenye Simba yetu mipango na uwezo huo tunao.
Kamati ya ufundi ilianza kazi kabla timu haijarejea hapa nyumbani,na kwa kazi nzuri iliyofanyika ushindi upo na Simba itafuzu kwenda nusu fainali.sikulazimisha kuamini.
Simba nguvu moja.
Utakufa bure na mikia yako.
 
Akiba ya maneno hutunza busara ya mtu.
IMG-20210522-WA0195.jpg
 
Simba 3-0 Kaizer Chiefs | Worrying Result, Congratulations To The Glamour Boys | Machaka

Source : iDiskiTV
 
Back
Top Bottom