Mashabiki wa Simba wasingiziwa!!


pumbavf zake bin zuberi
 
Hii haitaki uwe na elimu ya chuo kikuu kujua kuwa mechi ya Yanga vs Al Alhy inakuwa na mashabiki wa timu gani.

Kuvaa nguo nyekundu siyo kigezo cha mshabiki wa Simba cku ambayo simba haichezi. Tujiulize tu Al Alhy inavaa jezi za rangi gani?

Hebu tuacheni ushabiki na kuongea ukweli, utamtuhumuje mtu kuwa ni mshabiki wa Simba wakati anaishangilia Al Alhy au ndo kufikiri kwa kutumia ma------!!!!!!!!1
 

wako wajinga fulani wanaodhani upande huo ni hati miliki ya timu yao. yaani ni wapuuzi kweli kweli
 

Hizi rangi hizi sasa zitakuwa balaa. Ukivaa nyekundu basi-Simba wakati huwa pia wanavaa nyeupe. Ila ugomvi watani wanauweza maana hata refa anatandikwa makonde!
 

nikweli huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa shabiki wa yanga ni mwiko kuvaa hivi nguo yenye nembo hii
 

Attachments

  • 1393999885596.jpg
    70.9 KB · Views: 68
Kuna team ilikataa kuvaa jezi za mdhamini Vodacom kisa zina nembo nyekundu! Na kwa kuwa sasa hivi wana sim card nyekundu bila shaka kwenye simu zao hazipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…