Mashabiki wa Simba kuweni wastaarabu basi

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,386
5,230
Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia!

Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi umfukuze Chama kuwa hana kiwango. Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi uwaache Kapombe na Tshabalala ati ni wazee. Hawa mashabiki ndo walisema kipa Lakred ni garasa. Hawa mashabiki walizomea Mwenyekiti leo wanashangilia mipango yao ya kuleta ushindi.

Hawa mashabiki siku hizi wanawaandama wachezaji wapya Fred na Jobe eti hawana viwango kesho ndo wakifunga watashangilia na kujisahau.

Mbona sisi Wananchi (Yanga) ni mashabiki kweli wa mpira hata mchezaji asipo perform hatuletei usumbufu

Kuna kipindi Aziz ki alikuwa hafanyi vizuri tulimpa utulivu saiv anakiwasha

Mbumbumbu mjifunze kuwa mashabiki wa mpira kweli

Litimu lenu lishauzwa kwa Kanjibai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu limeunzwa kwa kanji ok kwa Fikra zako unazani mzee Msatafu kamleta Muuza magodolo jagwani kuja kuzibua mitalo ya Jengo lenu au unazani kaletwa pale ashangae ma Fuso yanayopakia vifusi pale jagwani
 
The fact ni kwamba hakuna aliyeshtuka na ushindi wa jana.

Ni kawaida sana kuona game za maamuzi tukifanya ukatili wa Jeffrey Dahmer wala sio kitu cha kushangaza.

Kiukweli tunawashangaa wanaoshangaa.

Na wala sio hatua ya kupokea pongezi kwenye kitu ambacho kimefanywa mara nyingi sana mpaka kimekuwa sehemu ya desturi.

Ni sawa na kumpa pongezi samaki kwa kuogelea wakati hayo ndio maisha yake siku zote.

Pengine samaki atahitaji pongezi zako pale utapomuona akiogelea kwenye mchuzi wa moto alio lostiwa nao.

Jwaneng Galaxy walitumwa na mamluki wa Jangwani kuja kutuchora lakini walipofika wakatukuta tupo na picha zao.

Hivi mnajiskiaje kuona wale mliowatuma kuja kututuliza mnawakuta wakiwa wametulia?
 
Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia!

Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi umfukuze Chama kuwa hana kiwango. Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi uwaache Kapombe na Tshabalala ati ni wazee. Hawa mashabiki ndo walisema kipa Lakred ni garasa. Hawa mashabiki walizomea Mwenyekiti leo wanashangilia mipango yao ya kuleta ushindi.

Hawa mashabiki siku hizi wanawaandama wachezaji wapya Fred na Jobe eti hawana viwango kesho ndo wakifunga watashangilia na kujisahau.

Mbona sisi Wananchi (Yanga) ni mashabiki kweli wa mpira hata mchezaji asipo perform hatuletei usumbufu

Kuna kipindi Aziz ki alikuwa hafanyi vizuri tulimpa utulivu saiv anakiwasha

Mbumbumbu mjifunze kuwa mashabiki wa mpira kweli

Litimu lenu lishauzwa kwa Kanjibai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaolewa bure shogamboga

Yasiyokuhusu kaa mbali
 
Mbumbumbu nakupa heshima yako

Nani kawatuma Makirikiri kuja kuwaharibia
Mnacheza team ya Wananchi iko angani inatoka Cairo kukamilisha ratiba baada ya kufuzu kabla ya mechi kuisha

Tushawapiga 5
Kwa kifupi Simba sio mshinda wa Yanga

Shangilia saiv mnamilikiwa na Mo
Mbumbumbu hamjielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia!

Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi umfukuze Chama kuwa hana kiwango. Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi uwaache Kapombe na Tshabalala ati ni wazee. Hawa mashabiki ndo walisema kipa Lakred ni garasa. Hawa mashabiki walizomea Mwenyekiti leo wanashangilia mipango yao ya kuleta ushindi.

Hawa mashabiki siku hizi wanawaandama wachezaji wapya Fred na Jobe eti hawana viwango kesho ndo wakifunga watashangilia na kujisahau.

Mbona sisi Wananchi (Yanga) ni mashabiki kweli wa mpira hata mchezaji asipo perform hatuletei usumbufu

Kuna kipindi Aziz ki alikuwa hafanyi vizuri tulimpa utulivu saiv anakiwasha

Mbumbumbu mjifunze kuwa mashabiki wa mpira kweli

Litimu lenu lishauzwa kwa Kanjibai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unawaona na kuthibitisha ni wao au umebuni kwa kutumia hisia zako tu?
 
Mashabiki wa Yanga wanaongoza kuanzisha mada na kuchangia zaidi kuhusiana na mambo ya SimbaSC..
Mashabiki wa kolouzdad wanaipenda sana Yanga... Kama hauamini angalia mlolongo wa mada zote kabla ya gemu ya Yanga na Waarabu na hii game ya jana kati ya kolouzdad na wale vibonde mabonge,

Kila muda wanaiongelea Yanga
 
Back
Top Bottom