Wamepotea mithili ya mdudu dinosaurNgada FC Sembe FC Pusha FC wanasumbua.
Ubaguzi huu . ha ha ha hHao Mbumbumbu FC, Makolo na Ngada FC Unadhani Wana akili ya kujibu hapa... Hao ni Mbumbumbu tu wanawaza kuvuta bangi na Ugoro
Ubora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.Nipo hapa kuwauliza mashabiki wa Simba na viongozi wao, je, bado mna imani Yanga haishindi kwa uwezo?
Bado mnaamini Yanga inatumia bahasha na Tigo Pesa kupata matokeo? Mashabiki wa Simba ni miongoni mwa mashabiki wajinga kuwahi kutokea Dunian, yaani wanaamini zaidi propaganda kuliko uhalisia wenyewe.
Viongozi wao wanawalisha propaganda kuwa wana timu bora kumbe uongo mtupu.
Ikitokea wamepelekewa moto na timu za ligi kuu halafu hiyo timu ikaja kupigiwa soka la kiwango cha SGR na Yanga, utasikia wanavobwabwaja kuwa hiyo timu imecheza chini ya kiwango tofauti na ilivocheza na wao!
Yaani hawaamini kama Yanga kwasasa ni bora kuliko wao, mkiendelea kuwa na imani hizi za kijinga Yanga atatangaza ubingwa mapema sana.
Hivi kabwili anacheza team gani sasa hivi maana alisema kaacha wenzake saba pale jangwani atafutwe aulizwe ni kina nani kabla hali haijawa mbaya.Ngada FC Sembe FC Pusha FC wanasumbua.
Huu ubora wa Yanga ukifika KLABU BINGWA huwa unatokomea wapi?Nipo hapa kuwauliza mashabiki wa Simba na viongozi wao, je, bado mna imani Yanga haishindi kwa uwezo?
Bado mnaamini Yanga inatumia bahasha na Tigo Pesa kupata matokeo? Mashabiki wa Simba ni miongoni mwa mashabiki wajinga kuwahi kutokea Dunian, yaani wanaamini zaidi propaganda kuliko uhalisia wenyewe.
Viongozi wao wanawalisha propaganda kuwa wana timu bora kumbe uongo mtupu.
Ikitokea wamepelekewa moto na timu za ligi kuu halafu hiyo timu ikaja kupigiwa soka la kiwango cha SGR na Yanga, utasikia wanavobwabwaja kuwa hiyo timu imecheza chini ya kiwango tofauti na ilivocheza na wao!
Yaani hawaamini kama Yanga kwasasa ni bora kuliko wao, mkiendelea kuwa na imani hizi za kijinga Yanga atatangaza ubingwa mapema sana.
Wewe wamekugonga kwa jezi nyeusi?Ubora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.
Akili zao ndo hizi,sasa hivi wameamia kwenye jezi yaani vichwa vyenu ni kama vizibo vya kufunikia shingo tuUbora gani huo wa kuambiwa na mganga wavae jezi nyeusi zile nyingine zina mkosi kiufupi team zinapocheza na simba ni tofauti na zinavyocheza na yanga hilo lipo wazi sema kiama chenu kinakuja Sisi yetu macho tu kuna siku taifa litapata aibu.
Waulize Al Hilal kilichowafanya wapack bus muda wote Sudan ni nini?.Huu ubora wa Yanga ukifika KLABU BINGWA huwa unatokomea wapi?